TVS King Kargo 225 Muhtasari wa Magurudumu Matatu
Injini Inayodumu
Injini yenye nguvu ya 225cc kwa pickup zaidi na torati inayopakia.
Muundo Imara
Matairi yenye meno marefu, Rimu za magurudumu imara, Visimamaji (suspension) na nguzo ya usukani zenye uimara zaidi.
Inayofaa kwa Matumizi Mbalimbali
Jukwaa linaloweza kubadilishwa kuwa matumizi tofauti kama Tray wazi, Grill, Sanduku la kusafirisha bidhaa n.k.
Urahisi
Mfumo wa kuanzisha kwa mguso mwepesi “i-touch start” unaofaa kwa kuwasha/kuzima mara kwa mara na kuokoa mafuta, Tangi kubwa la mafuta la lita 15.